Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Wednesday, April 20, 2016

  SUAREZ APIGA NNE, BARCELONA YAUA 8-0 LA LIGA

  Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya 11 katika ushindi wa 8-0 dhidi ya Deportivo La Coruna kwenye mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Manispaa ya Riazor, La Coruna. Suarez alifunga mabao manne, mengine dakika za 24, 53 na 64, wakati mabao mengine yamefungwa na Ivan Rakitic dakika ya 47, Lionel Messi dakika ya 73, Marc Bartra dakika ya 79 na Neymar Junior dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: SUAREZ APIGA NNE, BARCELONA YAUA 8-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top