• HABARI MPYA

  Thursday, April 21, 2016

  LIVERPOOL YAITANDIKA EVERTON 4-0 ANFILED

  Mshambuliaji wa Liverpool, Divock Origi (kulia) akiwa juu kuwania mpira dhidi ya beki wa Everton, Ramiro Funes Mori aliyetolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 50 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatano Uwanja wa Anfield. Liverpool imeshinda 4-0, mabao yake yakifungwa na Origi dakika ya 43, M. Sakho dakika ya 45 na ushei, Daniel Sturridge dakika ya 61 na Philippe Coutinho dakika ya 76 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAITANDIKA EVERTON 4-0 ANFILED Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top