• HABARI MPYA

  Tuesday, April 19, 2016

  SPURS YAIPUMULIA KISOGONI LEICESTER CITY, YAIPIGA STOKE 4-0 BRITANNIA

  Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane (kushoto) akishangilia na Jan Vertonghen baada ya kuifungia mabao mawili timu yake katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Stoke City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Britannia. Mabao mengine ya Spurs yalifungwa na Dele Alli na sasa timu hiyo inafikisha pointi 68 baada ya kucheza mechi 34 na kuendelea kukaa nafasi ya pili nyuma ya Leicester City yenye pointi 73 za mechi 34 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YAIPUMULIA KISOGONI LEICESTER CITY, YAIPIGA STOKE 4-0 BRITANNIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top