• HABARI MPYA

  Sunday, April 03, 2016

  SHANGWE ZA UBINGWA ZAANZA MAPEMA LEICESTER CITY


  Shabiki mdogo wa Leicester City akiwa meshika skafu yenye maandishi ya Leicester City bingwa Ligi Kuu England 2016 zilizokuwa zinauzwa nje ya Uwanja wa Kings Power, kabla ya mchezo na Southampton leo. Leicester wameshinda 1-0 na sasa wanaongoza Ligi Kuu kwa pointi saba zaidi ya Tottenham Hotspur walio nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHANGWE ZA UBINGWA ZAANZA MAPEMA LEICESTER CITY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top