• HABARI MPYA

  Wednesday, April 20, 2016

  MAN CITY YALAZIMISHA SARE ST JAMES' PARK KWA NEWCASTLE

  Eliaquim Mangala wa Manchester City akimtoka Moussa Sissoko wa Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St James' Park usiku wa Jumatatu timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Bao la City lilifungwa na Sergio Aguero kwa kichwa dakika ya 14, kabla ya Vurnon Anita kuiswazishia Newcastle dakika ya 60 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YALAZIMISHA SARE ST JAMES' PARK KWA NEWCASTLE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top