• HABARI MPYA

  Saturday, April 02, 2016

  LIVERPOOL YAKATALIWA NA SPURS NYUMBANI, SARE 1-1

  Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akikimbia kushangilia baada ya kuisawazishia timu yake dakika ya 63 katika sare ya 1-1 na Liverpool Uwanja wa Anfield leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la Liverpool limefungwa na Philippe Coutinho dakika ya 51 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAKATALIWA NA SPURS NYUMBANI, SARE 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top