• HABARI MPYA

    Sunday, April 03, 2016

    KING BOXER, KIBOKO YA KINYOGOLI ALIKUWA ANAJIFUA HADI MELINI

    Bondia maarufu wa zamani nchini, Abdallah Mgeni ‘King Boxer’ (kulia) akifanya mazoezi kwenye Meli. Bondia huyo pekee kumpiga gwiji wa zamani wa ndondi nchini Habib Kinyogoli ‘Master’ alikuwa Baharia na muda mwingi alilazimika kuwa anafanya mazoezi yake kwenye Meli. Mungu ampumzishe kwa amani milele fundi huyo wa ngumi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KING BOXER, KIBOKO YA KINYOGOLI ALIKUWA ANAJIFUA HADI MELINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top