• HABARI MPYA

  Sunday, April 03, 2016

  HUO MOTO WA LEICESTER CITY ENGLAND USIKIE HIVYO HIVYO!

  Nyota wa Leicester City, Wes Morgan akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee la ushindi dakika ya 38 wakiilaza 1-0 Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja King Power. Leicester City sasa inafikisha pointi 69 baada ya kucheza mechi 32, ikiwazidi kwa pointi saba Tottenham Hotspur walio nafasi ya pili baada ya kucheza mechi 32 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HUO MOTO WA LEICESTER CITY ENGLAND USIKIE HIVYO HIVYO! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top