• HABARI MPYA

  Sunday, April 03, 2016

  BEKI WA SIMBA ALIVYOTESWA JANA SOKOINE MBEYA CITY IKIIPA 4-0 COASTAL

  Beki wa Simba anayecheza kwa mkopo Coastal Union, Miraj Adam akigaagaa chini huku wachezaji wa Mbeya City wakiondoka na mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Mbeya City ilishinda 4-0, mabao yake yakifungwa na Salvatory Nkulula mawili, Hassan Mwasapili na Ditram Nchimbi
  Mchezaji wa Mbeya City, Geoffrey Mlawa akmuacha chini beki wa Coastal, Miraj Adam anayecheza kwa mkopo kutoka Simba

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BEKI WA SIMBA ALIVYOTESWA JANA SOKOINE MBEYA CITY IKIIPA 4-0 COASTAL Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top