• HABARI MPYA

  Friday, April 01, 2016

  AZAM NA PRISONS KATIKA PICHA

  Kiungo wa Azam FC, Farid Mussa (kulia) akiudhibiti mpira katikati ya wachezaji wa Prisons katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 3-1
  Kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' akimtoka mchezaji wa Prisons jana Chamazi
  Kiungo wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Prisons
  Mshambuliaji wa Azam FC, Khamis Mcha 'Vialli' akiuvutia kasi mpira ili watoka wachezaji wa Prisons
  Beki wa Azam FC, Waziri Salum akiugulia maumivu baada ya kuchezewa rafu na mchezaji wa Prisons
  Kocha Muingereza Stewart Hall akimpongeza beki wake, Shomarybkapombe baada ya kufunga mabao mawili jana katika ushindi huo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM NA PRISONS KATIKA PICHA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top