Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero akishangilia baada ya kukamilisha hat-trick yake dakika ya 80 kwa mkwaju wa penalti baada ya kipa wa Chelsea Thibaut Courtois kutolewa kwa kaid nyekundu kwa kumuangusha Fernandinho. Mabao mengine Aguero alifunga dakika za 33 na 54, Chelsea pungufu ikilala 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'England have been treated like adults - now they must play like adults'
-
As England go into the third Ashes Test in Adelaide 2-0 down in the series,
Stephan Shemilt examines what it will take for Ben Stokes' men to bounce
back.
58 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment