• HABARI MPYA

  Wednesday, March 09, 2016

  YANGA SC NA AFRICAN SPORTS KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Amissi Tambwe (kushoto) akitafuta maarufa ya kumpita beki wa African Sports katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 5-0
  Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma (kulia) akimtoka beki wa Sports jana
  Kiungo wa Yanga SC, Thabani Kamusoko (kulia) akipambana na mchezaji wa Sports
  Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke akimtoka beki wa Sports jana
  Wachezaji wa Yanga, Juma Abdul kulia na Kaseke kushoto wakigongeana pasi katikati ya wachezaji wa Sports
  Juma Abdul wa Yanga akimtioka beki wa Afruincan Sports jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC NA AFRICAN SPORTS KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top