• HABARI MPYA

  Wednesday, March 02, 2016

  YANGA ILIYOFIKA ROBO FAINALI AFRIKA NA KUTOA MCHEZAJI ALIYEWIKA ULAYA

  Kikosi cha Yanga SC kilichofika Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Washindi Afrika mwaka 1995 na kutolewa na Backpool ya Zimbabwe baada ya kufungwa 2-1 Harare na 2-1 Dar es Salaam. Wa tatu kutoka kushoto waliosimama ni Nonda Shabani, ambaye mwaka huu alikwenda Vaal Proffessional ya Afrika Kusini kabla ya kuhamia Ulaya alikopata mafanikio makubwa akicheza Ligi za Uswisi, Ufaransa, Italia, Uingereza na Uturuki alikomalizia soka yake. Kwa sasa, Nonda anaishi kwao Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA ILIYOFIKA ROBO FAINALI AFRIKA NA KUTOA MCHEZAJI ALIYEWIKA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top