• HABARI MPYA

    Thursday, March 03, 2016

    RONALDO AFUNGA KWA TUTA REAL MADRID YAADHIBU 3-1 LA LIGA

    Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akifunga kwa penalti kipindi cha kwanza katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Levante kwenye mchezo wa La Liga usiku huu. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Isco na Diego Marino aliyetokea benchi Uwanja wa Bernabeu, wakati la Levante limefungwa na  Deyverson    PICHA ZAIDI GONGA HAPA

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AFUNGA KWA TUTA REAL MADRID YAADHIBU 3-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top