• HABARI MPYA

  Saturday, March 05, 2016

  RONALDO AFUNGA NNE, REAL MADRID YAICHAPA 7-1 CELTA VIGO

  Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akiwa ameweka mpira ndani ya jezi yake baada ya kufunga mabao manne peke yake katika ushindi wa 7-1 dhidi ya Celta Vigo kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Pepe, Jese Rodriguez na Gareth Bale, wakati la Celta Vigo limefungwa na Iago Aspas PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA NNE, REAL MADRID YAICHAPA 7-1 CELTA VIGO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top