• HABARI MPYA

  Saturday, March 05, 2016

  MZUNGU AMFUNGIA SAFARI NIYONZIMA HADI DAR, KISA?

  Kocha Muingereza wa timu ya taifa ya Rwanda, Johnny McKinstry (kushoto) akizungumza na Nahodha wa timu yake, Haruna Niyonzima (kulia) leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
  Niyonzima hakuweza kuichezea klabu yake, Yanga SC dhidi ya Azam FC kutokana na kuwa majeruhi
  Haikujulikana mara moja Niyonzima alikuwa anazungumza nini na Mzungu huyu

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MZUNGU AMFUNGIA SAFARI NIYONZIMA HADI DAR, KISA? Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top