• HABARI MPYA

  Saturday, March 05, 2016

  RASHFORD MCHEZAJI BORA WA FEBRUARI MANCHESTER UNITED

  Mshambuliaji kinda wa miaka 18 wa Manchester United, Marcus Rashford akiwa ameshikilia tuzo ya Mchezaji Bora wa klabu ya Februari baada ya kukabidhiwa leo. Rashford ameshinda tuzo hiyo baada ya kuchea kwa dakika 170 tu na kufunga mabao manne mawili kila mechi, dhidi ya Midtjylland na Arsenal PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RASHFORD MCHEZAJI BORA WA FEBRUARI MANCHESTER UNITED Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top