Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akifumua shuti kuifungia Real Madrid katika ushindi wa 2-0 dhidi ya AS Roma kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatatu Uwanja wa Bernabeu, hilo likiwa bao lake la 90 kwenye michuano hiyo. Bao lingine la Real inayotinga Roibo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-0 baada ya awali kushinda 2-0 pia Italia, lilifungwa na James Rodriguez. Mchezo mwingine wa jana, VfL Wolfsburg iliifunga 1-0 KAA Gent Uwanja wa Volkswagen Arena, bao pekee la Andre Schurrle hivyo kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-2, baada ya awali kushinda 3-2 Ubelgiji PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Brazil's Braathen wins giant slalom gold at Winter Olympics in first for
South America
-
Brazil's Lucas Pinheiro Braathen won South America's first-ever Winter
Olympics medal on Saturday as his samba skiing propelled him to a stunning
giant sl...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment