• HABARI MPYA

  Wednesday, March 09, 2016

  ARSENAL YAIFUMUA 4-0 HULL CITY NA KUTINGA ROBO FAINALI KOMBE LA FA

  Mshambuliaji wa Arsenal, Theo Walcott akipongezwa na wachezaji wenzake, Kieran Gibbs na Alex Iwobi baada ya kufunga bao lake la pili usiku wa kuamkia leo katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Hull City katika mchezo wa 16 Bora Kombe la FA England Uwanja wa KC. Walcott alifunga mabao mawili na mengine Olivier Giroud na sasa The Gunners inakwenda Robo Fainali ya michuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAIFUMUA 4-0 HULL CITY NA KUTINGA ROBO FAINALI KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top