• HABARI MPYA

  Monday, March 14, 2016

  REAL MADRID YAPATA USHINDI MWEMBAMBA KWA LAS PALMAS

  Mbrazil Carlos Henrique Jose Francisco Venancio 'Casemiro' amekuwa shujaa wa Real Madrid baada ya bao lake la kichwa dakika ya 89 kuipa timu hiyo ushindi wa 2-1 dhidi ya Las Palmas katika mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Gran Canaria. Bao la wenyeji lilifungwa na Willian Jose Da Silva dakika ya 87, baada Sergio Ramos kutangulia kuifungia Real dakika ya 24 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAPATA USHINDI MWEMBAMBA KWA LAS PALMAS Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top