Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Sunday, March 06, 2016

  MESSI AFUNGA MABAO MAWILI, BARCELONA IKISHINDA 4-0 LA LIGA

  Nyota wa Barcelona, Lionell Messi (kulia) akifumua shuti kuifungia bao la pili timu yake katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Eibar kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Manispaa ya Ipurua mjini Eibar. Messi amefunga mabao mawili, wakati mabao mengine yamefungwa na Munir El Haddadi na Luis Suarez PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: MESSI AFUNGA MABAO MAWILI, BARCELONA IKISHINDA 4-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top