• HABARI MPYA

  Sunday, March 06, 2016

  MAN UNITED BADO HAIJASIMAMA IMARA, YAGONGWA 1-0 THE HAWTHORNS

  Nyota wa West Bromwich Albion, Salomon Rondon akifumua shuti huku beki wa Manchester United, Chris Smalling akijaribu kuzuia katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa The Hawthorns. WBA imeshinda 1-0, bao pekee la Rondon dakika ya 66 katika mchezo ambao United ilimaliza pungufu baada ya Juan Mata kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 26 tu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED BADO HAIJASIMAMA IMARA, YAGONGWA 1-0 THE HAWTHORNS Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top