• HABARI MPYA

  Saturday, March 12, 2016

  MAN CITY YAPATA SARE KWA NORWICH CITY, 0-0 CARROW ROAD

  Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling akipambana katikati ya mabeki wa Norwich City, Martin Olsson na Bennett katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Carrow Road. Timu hizo zimetoka 0-0  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAPATA SARE KWA NORWICH CITY, 0-0 CARROW ROAD Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top