• HABARI MPYA

    Wednesday, March 09, 2016

    IKANGAA ALIKUWA HATARI KWA KUFUKUZA UPEPO MASAFA MAREFU

    Mwanariadha nyota wa Tanzania, Juma Ikangaa (katikati) akiwazidi wakimbiaji wa nchi nyingine katika mbio za Boston Marathon mwaka 1988. Ikangaa alitamba kwenye mbio hizo hadi mwaka 1990 na kujijengea jina kubwa ulimwenguni
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: IKANGAA ALIKUWA HATARI KWA KUFUKUZA UPEPO MASAFA MAREFU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top