• HABARI MPYA

  Wednesday, March 09, 2016

  EBOUE AKAMILISHA USAJILI SUNDERLAND HADI MWISHONI MWA MSIMU

  Beki wa kimataifa wa Ivory Coast, Emmanuel Eboue akiwa mwenye furaha baada ya kukamilisha usajili wake klabu ya Sunderland ya England leo kwa Mkataba wa kumalizia msimu, wenye kipengele cha kuongezewa iwapo atafanya vizuri  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EBOUE AKAMILISHA USAJILI SUNDERLAND HADI MWISHONI MWA MSIMU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top