• HABARI MPYA

  Wednesday, March 09, 2016

  WATANASHATI WA AZAM FC WATUA J'BURG TAYARI KUWAADHIBU BIDVEST WITS J'MOSI

  Wachezaji wa Azam FC wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa O Tambo mjini Johannesburg Afrika Kusini mchana wa leo tayari kwa mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji Bidvest Wits Jumamosi
  Manahodha John Bocco kulia na Msaidizi wake, Himid mao kushoto wakiwa wenye furaha baada ya kuwasili
  Kiungo Ramadhani Singano 'Messi' kushoto na kocha wa makipa, Iddi Abubakar kulia

  Kocha Muingereza, Stewart Hall (kushoto) akiongoza msafara wakati wa kuwasili. Azam imefikia katika Hoteli ya kifahari ya Garden Court, Johannesburg na jioni kimefanya mazoezi ya kwanza  kujiandaa na mchezo wa Jumamosi

  Wakiwa ndani ya ndege kulia ni beki Serge Wawa na kushoto mshambuliaji Allan Wanga

  Mabeki David Mwantika kulia na Erasto Nyoni kushoto

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WATANASHATI WA AZAM FC WATUA J'BURG TAYARI KUWAADHIBU BIDVEST WITS J'MOSI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top