• HABARI MPYA

  Friday, March 04, 2016

  CHEKA ALIVYOMKABIDHI WAZIRI WA MICHEZO, NAPE MKANDA WA UBINGWA WA WBF LEO


  Bondia Francis Cheka (wa pili kutoka kushoto) akikabidhi mkanda wa ubingwa wa mabara wa uzito wa Super Middle wa chama cha WBF kwa Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye wapili kulia, wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Kampuni yaAdvanced Security, Juma Ndambile (wa kwanza kushoto), Yasin "Ustadh" Abdallah (Katikati) na bondia Cosmas Cheka ambaye pia alikabidhi mkanda wa ubingwa wa uzito wa Light wa Afrika wa WBF
  Waziri Nape Nnauye akimkabidhi cheti bondia Francis Cheka baada ya kushinda ubingwa wa Mabara wa uzito wa Super middle wa WBF
  Bondia Francis Cheka akizungumza katika mkutano huo na kuipongeza serikali kwa kumtambua kwa kumpa cheti cha pongezi

  Waziri Nape Nnauye akiuvaa mkanda wa ubingwa wa Mabara wa uzito wa Super middle wa WBF mara baada ya kukabidhiwa na bondia Francis Cheka.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHEKA ALIVYOMKABIDHI WAZIRI WA MICHEZO, NAPE MKANDA WA UBINGWA WA WBF LEO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top