• HABARI MPYA

    Saturday, March 05, 2016

    AZAM VETERANS YAWAFUNGA MIDOMO MBEZI VETERANS, YAWATANDIKA 3-1 KIDONGO CHEKUNDU

    Mshambuliaji wa Azam FC Veterans, Abdulkarim Amin 'Popat' akimtoka beki wa Mbezi Veterans, katika mchezo wa Kundi B michuano ya JMK Floodlight League Uwanja wa kituo cha michezo cha Jakaya Mrisho Kikwete (JKM), KIdongo Chekundu, Dar es Salaam usiku wa Ijumaa. Azam Veterans ilishinda 3-1, mabao yake yakifungwa na Salim Aziz 'Ryad Mahrez' mawili na moja Popat kwa penalti
    Salim Aziz 'Ryad Mahrez' akimtoka beki wa Mbezi Veterans
    Mshambuliaji wa Azam Veterans, Salim Aziz 'Ryad Mahrez' akimtoka beki wa Mbezi Veterans
    Kiungo wa Azam Veterans, Nassor Iddrisa 'Father' akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Mbezi Veterans
    Hapan kuna viongozi na wafadhili wa Azam wakifurahia juhudi zao baada ya mechi na Mbezi Veterans
    Kocha wa Mbezi Veterans ilibaki kidogo tu 'kurusha taulo' uwanjani
    Ryad Mahrez wa Azam Veterans akimkokota mtu hadi kwenye boksi
    Wachezaji wa akiba wa Azam Veterans wakiwa tayari kuchukua nafasi za waliochoka
    11 walioanza jana dhidi ya Mbezi Veterans
    Wachezaji wote wa Azam katika picha ya pamoj

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM VETERANS YAWAFUNGA MIDOMO MBEZI VETERANS, YAWATANDIKA 3-1 KIDONGO CHEKUNDU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top