• HABARI MPYA

  Friday, March 11, 2016

  BENITEZ KOCHA MPYA NEWCASTLE BAADA YA KUFUKUZWA MCCLAREN

  Mtaalamu wa Kispanyola, Rafael Benitez akiwa na jezi ya Newcastle United pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa klabu hiyo, Lee Charnley baada ya kutambulishwa kuwa kocha mpya kufuatia kusaini Mkataba wa miaka mitatu kuchukua nafasi ya Steve McClaren aliyefukuzwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BENITEZ KOCHA MPYA NEWCASTLE BAADA YA KUFUKUZWA MCCLAREN Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top