• HABARI MPYA

    Wednesday, March 09, 2016

    AZAM FC WALIVYOONDOKA LEO DAR KUWAFUATA BIDVEST WITS AFRIKA KUSINI

    Wachezaji wa Azam FC wakiwa watanashati na suti zao leo asubuhi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam wakati wakisafiri kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji Bidvest Wits Jumamosi mjini Johannesburg
    Kushoto ni Nahodha wa Azam FC, John Raphael Bocco na anayemfuatia ni kiungo Mudathir Yahya
    Vijana watanashati wakiwa na furaha wakati wa safari leo asubuhi
    Kocha Mkuu, Muingereza Stewart Hall (kushoto) akiwa na kocha wa makipa, Iddi Abubakar
    Wachezaji wa kigeni kutoka kulia Allan Wanga wa Kenya, Kipre Tchetche, Serge Wawa na Kipre Balou wote wa Ivory Coast
    Wawili hawa, Shomary Kapombe na Himid Mao kushoto wanaweza kucheza kama mabeki na viungo pia 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOONDOKA LEO DAR KUWAFUATA BIDVEST WITS AFRIKA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top