Mcheza ngumi na mateke (Kickboxer) Badr Hari akitania ameoana na Cristiano Ronaldo wakati walipokutana mapumzikoni nchin9 Morocco. Ronaldo amepewa mapumziko Real Madrid na amekwenda Morocco na Badr Hari baada ya kuiwezesha Ureno kufuzu Euro 2016 kabla ya mchezo wao wa mwisho dhidi ya Serbia leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sunday, October 11, 2015
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment