Mshambuliaji Robert Lewandowski 'akibusu' mbele ya mashabiki wa Poland baada ya kuifungia bao timu yake katika mchezo wa Kundi D usiku wa jana kufuzu Euro 2016 Ufaransa dhidi ya Jamuhuri ya Ireland katika ushindi wa 2-1. Bao lingine la Poland lilifungwa na kiungo Grzegorz Krychowiak, wakati la Ireland lilifungwa na Jon Walters kwa penalti baada ya Shane Long kuchezewa rafu na Jakub Wawrzyniak. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
UKHSA reports 36 notifications of baby formula cereulide poisoning
-
The reports follow several recalls of baby formula.
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment