• HABARI MPYA

  Sunday, March 10, 2019

  HAZARD AINUSURU CHELSEA KUPIGWA NYUMBANI NA WOLVES

  Mshambuliaji Mbelgiji, Eden Hazard akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kusawazisha dakika ya 90 na ushei kufuatia Raul Jimenez kuanza kuifungia Wolves dakika ya 56 katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAZARD AINUSURU CHELSEA KUPIGWA NYUMBANI NA WOLVES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top