Mshambuliaji Raheem Sterling akishangilia kwa furaha baada ya kuifungia England hat-trick kwa mabao yake ya dakika za 24, 62 na 68 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Jamhuri ya Czech kwenye mchezo wa ufunguzi wa Kundi A kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Wembley mjini London. Mabao mengine ya Three Lions yalifungwa na Harry Kane kwa penalti dakika ya 45 na Tomas Kalas aliyejifunga dakika ya 84. Mechi nyingine ya Kundi A jana, Bulgaria ililazimishwa sare ya 1-1 na Montenegro jana mjini Sofia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment