• HABARI MPYA

  Friday, March 15, 2019

  GIROUD APIGA HAT TRICK CHELSEA YAUA 5-0 NA KWENDA ROBO FAINALI

  Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao matatu dakika ya tano, 33 na 59 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Dynamo Kiev kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa NSK Olimpiki mjini Kiev. Mabao mengine yalifungwa na Marcos Alonso dakika ya 45 na ushei na Callum Hudson-Odoi dakika ya 78 na Chelsea inakwenda robo fainali kwa ushindi wa jumla wa 8-0 baada ya kushinda 3-0 kwenye mchezo wa kwanza London 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GIROUD APIGA HAT TRICK CHELSEA YAUA 5-0 NA KWENDA ROBO FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top