Nyota wa Paris Saint-Germain, Neymar akiushuhudia mchezo wa kirafiki timu yake, Brazil ikilazimishwa sare ya 1-1 na Panama Uwanja wa Dragao mjini Porto. Lucas Paqueta alianza kuifungia Brazil dakika ya 32, kabla ya Adolfo Machado kuisawazishia Panama dakika ya 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Knicks vs. 76ers Game 4 live score, updates, highlights from 2026 NBA
playoffs
-
New York looking for a Sunday sweep in Philly.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment