Mshambuliaji na Nahodha wa Argentina, Lionel Messi akisikitika baada ya timu yake kuchapwa mabao 3-1 na Venezuela Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid kwenye mchezo wa kirafiki. Mabao ya Venezuela yalifungwa na Salomon Rondon dakika ya sita, Jhon Murillo dakika ya 44 na Josef Martinez dakika ya 75 kwa penalti wakati la Argentina lilifungwa na Lautaro Martínez dakika ya 59 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
50 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment