Eden Hazard akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 10 kabla ya Michy Batshuayi kufunga la pili dakika ya 18 Ubelgiji ikiwalaza wenyeji, Cyprus 2-0 katika mchezo wa Kundi I kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Neo GSP mjini Nicosia. Hazard amekamilisha mechi 100 za kuichezea Ubelgiji, huku mechi nyingine za kundi hilo jana Urusi iliikung'uta Kazakhstan 4-0 mjini Astana na Scotland ikaifunga 2-0 San Marino mjini Serravalle PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
54 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment