Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia kwa staili ya Wakanda Forever katika filamu ya Black Panther baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za tano na 72 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Rennes kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Emirates. Bao lingine lilifungwa na Ainsley Maitland-Niles dakika ya 15 na Arsenal inafuzu Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-3 baada ya kufungwa 3-1 kwenye mchezo wa kwanza Ufaransa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Knicks vs. 76ers Game 4 live score, updates, highlights from 2026 NBA
playoffs
-
New York looking for a Sunday sweep in Philly.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment