Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akijaribu kuwatoka mabeki wa Ukraine usiku wa jana Uwanja wa Luz mjini Lisbon katika mchezo wa Kundi B kufuzu Euro 2020 alipokuwa akiichezea Ureno kwa mara ya kwanza tangu baada ya Fainali za kombe la Dunia mwaka jana Urusi. Timu hizo hazikufungana na mechi nyingine ya Kundi B jana, Luxembourg iliichapa Lithuania 2-1 mjini Luxembourg PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Knicks vs. 76ers Game 4 live score, updates, highlights from 2026 NBA
playoffs
-
New York looking for a Sunday sweep in Philly.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment