• HABARI MPYA

  Sunday, April 15, 2018

  MANCHESTER UNITED 'WAIZAWADIA' UBINGWA MAN CITY

  Wachezaji wa Manchester United wakiwa wanyonge baada ya bao pekee la Jay Rodriguez dakika ya 73 ambalo limeipa ushindi wa 1-0 West Bromwich Albion leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford, hivyo kuwafanya Manchester City wathibitishwe kuwa mabingwa wapya baada ya matokeo hayo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER UNITED 'WAIZAWADIA' UBINGWA MAN CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top