• HABARI MPYA

  Monday, April 09, 2018

  GUARDIOLA AENDESHA MJADALA MZITO KUELEKEA MECHI NA LIVERPOOL

  Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola akijadiliana na wasaidizi wake wakati wa mazoezi ya leo jioni kujiandaa na mchezo wa marudiano Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Liverpool Uwanja wa Etihad wakihitaji ushindi wa 4-0 kusonga mbele kufuatia kufungwa 3-0 kwenye mechi ya kwanza Uwanja wa Anfield wiki iliyopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GUARDIOLA AENDESHA MJADALA MZITO KUELEKEA MECHI NA LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top