• HABARI MPYA

  Thursday, January 18, 2018

  MESSI AKOSA PENALTI BARCELONA YAKANYAGWA 1-0 NA ESPANYOL

  Lionel Messi akipiga penalti ambayo alikosa dakika ya 62 Barcelona ikichapwa 1-0 na jirani zao, Espanyol bao pekee la Oscar Melendo dakika ya 88 katika robo fainali ya kwanza ya Kombe la Mfalme maarufu kama Copa del Rey usiku wa Jumatano Uwanja wa RCDE mjini Cornella de Llobregat PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AKOSA PENALTI BARCELONA YAKANYAGWA 1-0 NA ESPANYOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top