• HABARI MPYA

  Friday, January 05, 2018

  ARSENE WENGER ASAJILI BEKI WA MGIRIKI ARSENAL PAUNI MILIONI 2

  Kocha wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger (kushoto) akiwa na beki Mgiriki, Konstantinos Mavropanos mwenye umri wa miaka 20 baada ya kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 2.2 kutoka PAS Giannina ya kwao. Chipukizi huyo anataka kutolewa kwa mkopo akapate uzoefu kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENE WENGER ASAJILI BEKI WA MGIRIKI ARSENAL PAUNI MILIONI 2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top