• HABARI MPYA

  Saturday, December 02, 2017

  TOTENHAM YAAMBULIA SARE KWA WATFORD, 1-1 VICARAGE ROAD

  Son Heung Min akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la kusawazisha dakika ya 25 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja Vicarage Road, Watford, Bao la Watford limefungwa na Christian Kabasele dakika ya 13 katika mchezo ambao, Davinson Sanchez wa Spurs alitolewa kwa kadi nyekundu ya moja kwa mopja kwa kugombana na kiungo Mbrazili, Richarlison PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TOTENHAM YAAMBULIA SARE KWA WATFORD, 1-1 VICARAGE ROAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top