• HABARI MPYA

  Saturday, December 02, 2017

  FIRMINO AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YASHINDA 5-1 UGENINI

  Roberto Firmino (kushoto) akinyoosha mkono juu kushangilia kishujaa baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika za 31 na 48 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa The American Express Community mjini Falmer, East Sussex. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Emre Can dakika ya 30, Roberto Firmino dakika ya 87 na Lewis Dunk aliyejifunga dakika ya 89 kufuatia kubabatizwa na mpira wa  Coutinho. Bao la wenyeji, Brighton & Hove Albion limefungwa na Glenn Murray kwa penalti dakika ya 51 baada ya Shane Duffy kuchezewa faulo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FIRMINO AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YASHINDA 5-1 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top