• HABARI MPYA

    Friday, December 01, 2017

    STARS WALIVYOANZA KUIPASHIA LIBYA LEO MACHAKOS

    Kipa namba moja wa timu ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, Aishi Manula akiwa mazoezini kwenye Uwanja wa akademi ya Machakos leo asubuhi kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Kundi A Kombe la CECAFA Challenge Jumapili dhidi ya Libya
    Aishi Manula akiwa na kipa mwenzake, Peter Manyika mazoezini leo baada ya timu kuwasili jana
    Wachezaji wa Kilimanjaro Stars wakiwa mazoezini leo asubuhi Uwanja wa Machakos
    Wachezaji wa Kilimanjaro Stars wakiwa mazoezini leo asubuhi Uwanja wa Machakos 
    Wachezaji wa Kilimanjaro Stars wakiwa mazoezini leo asubuhi Uwanja wa Machakos
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STARS WALIVYOANZA KUIPASHIA LIBYA LEO MACHAKOS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top