Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia bao la tatu Liverpool dakika ya 44 ikiwalaza 4-0 wenyeji AFC Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vitality. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Philippe Coutinho dakika ya 20, Dejan Lovren dakika ya 26 na Roberto Firmino dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Good signs' or just buying time? Spurs remain divided on Frank future
-
Many Tottenham fans have already lost faith in Thomas Frank - but did
Tuesday's 2-0 win over Borussia Dortmund give cause for optimism?
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment