• HABARI MPYA

    Saturday, December 02, 2017

    PELE NA MARADONA WALIPOFURAHI PAMOJA JANA URUSI

    Magwiji wa soka, Diego Maradona wa Argentina na Pele wa Brazil wakifurahia pamoja wakati wa droo ya upangaji wa ratiba na makundi ya Kombe la Dunia jana mjini Moscow, Urusi. Kwa muda wanasoka hao wamekuwa na upinzani mkali tangu wanacheza, lakini siku za karibuni wameanza kuelewana na kufurahi pamoja PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PELE NA MARADONA WALIPOFURAHI PAMOJA JANA URUSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top