• HABARI MPYA

  Saturday, December 02, 2017

  HIGUAIN AWAZIMA NAPOLI SAN PAOLO, JUVE YASHINDA 1-0 SERIE A

  Mshambuliaji wa Juventus, Gonzalo Higuain akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi timu yake dakika ya 12 ikiilaza 1-0 timu yake ya zamani, Napoli katika mchezo wa Ligi Kuu ya Italia, maarufu kama Serie A usiku wa jana Uwanja wa San Paolo mjini Napoli PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HIGUAIN AWAZIMA NAPOLI SAN PAOLO, JUVE YASHINDA 1-0 SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top